# Nikauweka moyo wangu "Nikusudia" au "Niliamua" # kazi inayofanyika juu ya nchi "kazi ambayo watu wanafanya duniani" # pasipo kufumba macho "bila kulala" # kazi inayofanyika chini ya jua Maana zinazowezekana ni 1) "kazi ambayo Mungu anafanya chini ya jua" au 2) "kazi ambayo Mungu anaruhusu watu kufanya chini ya jua"