sw_tn/ecc/07/27.md

16 lines
433 B
Markdown

# nikiongeza uvumbuzi mmoja hadi mwingine
"kugundua kitu kimoja baada ya kingine"
# ili kwamba nipate ufafanuzi wa ukweli
"ili niweza kufafanua maisha"
# mwanamme mmoja mwenye haki miongoni mwa elfu
Mwanamme mmoja tu mwenye haki aliweza kupatikana kati ya wanaume 1,000. "1 mwenye haki kati ya wanaume 1,000"
# mwanamke miongoni mwa wale wote
Hakuwepo mwanamke yeyote mwenye haki aliyepatikana katika kundi la wanawake 1,000.