# nikiongeza uvumbuzi mmoja hadi mwingine "kugundua kitu kimoja baada ya kingine" # ili kwamba nipate ufafanuzi wa ukweli "ili niweza kufafanua maisha" # mwanamme mmoja mwenye haki miongoni mwa elfu Mwanamme mmoja tu mwenye haki aliweza kupatikana kati ya wanaume 1,000. "1 mwenye haki kati ya wanaume 1,000" # mwanamke miongoni mwa wale wote Hakuwepo mwanamke yeyote mwenye haki aliyepatikana katika kundi la wanawake 1,000.