sw_tn/ecc/07/19.md

8 lines
244 B
Markdown

# zaidi ya watawala kumi katika mji
Hekima inalinganishwa na watawala wengi wa miji. Hekima inaweza kumfanya mtu kuwa wa muhimu zaidi kuliko watawala wa miji.
# anayefanya mema na hatendi dhambi
"anayefanya matendo mazuri na hatendi dhambi"