# zaidi ya watawala kumi katika mji Hekima inalinganishwa na watawala wengi wa miji. Hekima inaweza kumfanya mtu kuwa wa muhimu zaidi kuliko watawala wa miji. # anayefanya mema na hatendi dhambi "anayefanya matendo mazuri na hatendi dhambi"