sw_tn/ecc/07/05.md

12 lines
306 B
Markdown

# maonyo ya mtu mwenye hekima
"watu wenye hekima wakikuonya"
# kusikiliza wimbo wa wapumbavu
"kusikiliza wapumbavu wakiimba"
# kama mlio wa miiba chini ya chungu, ndivyo kilivyo kicheko cha wapumbavu
"kicheko cha wapumbavu" kinalinganishwa na kuchomwa kwa miba ambayo ina kelele ila inateketea upesi.