# maonyo ya mtu mwenye hekima "watu wenye hekima wakikuonya" # kusikiliza wimbo wa wapumbavu "kusikiliza wapumbavu wakiimba" # kama mlio wa miiba chini ya chungu, ndivyo kilivyo kicheko cha wapumbavu "kicheko cha wapumbavu" kinalinganishwa na kuchomwa kwa miba ambayo ina kelele ila inateketea upesi.