sw_tn/ecc/06/09.md

20 lines
566 B
Markdown

# kile ambacho macho hukiona
Mtu anaweza kuona vitu kwa sababu tayari anavyo. "kile ambacho mtu anacho"
# kutamani kile ambacho hamu isiyo tulia inatamani
Hii inamaanisha vitu ambavyo mtu anatamani ila hana. "kutamani kile ambacho hana"
# mvuke na kujaribu kuuchunga upepo
Mwalimu anasema kwamba vitu ambavyo watu hufanya ni kama kujaribu kuushika upepo au kuuzuia upepo kupuliza.
# Chochote ambacho kimekuwepo
"Watu tayari wameshavipatia majina vitu vilivyopo"
# vile mtu alivyo ni kama tayari amekwisha fahamika
"watu tayari wanajua vile binadamu alivyo"