sw_tn/ecc/05/18.md

16 lines
399 B
Markdown

# Tazama
"kuwa makini" au "sikiliza"
# kile nilichokiona kuwa kizuri kufaaa
Hapa maneno "kizuri" na "kufaa" zinamaana moja. Ya pili inakazia maana ya ile ya kwanza. "kile nilichokiona kuwa bora zaidi kufanya."
# wakati wa siku za maisha haya ambayo Mungu ametupa
"kadri Mungu atakavyo turuhusu kuishi"
# wajibu wa mtu
Maana zinazowezekana ni 1) "dhawabu ya mtu" au 2) "fungu la mtu maishani"