forked from WA-Catalog/sw_tn
32 lines
1.1 KiB
Markdown
32 lines
1.1 KiB
Markdown
# mtu azaliwavyo uchi ... ataondoka katika maisha haya akiwa uchi
|
|
|
|
Kwa kuongezea na kutokua na nguo, neno"uchi" hapa linasisitiza kuwa watu wanazaliwa bila kitu chochote. "mtu yu uchi na hamiliki kitu anapozaliwa ...ataondoka maisha haya kwa njia vivyo hivyo.
|
|
|
|
# ataondoka katika maisha haya
|
|
|
|
"atakufa"
|
|
|
|
# Hachukui chochote
|
|
|
|
"hachukui chochote mkononi mwake"
|
|
|
|
# kama mtu alivyo kuja ni lazima aende vivyo hivyo
|
|
|
|
Hii inamaanisha kuzaliwa na kufa kwa mtu na inaashiria wazo sawa na mstari uliopita.
|
|
|
|
# Hivyo ni faida gani mtu yeyote aipatayo katika kufanya kwa ajili ya upepo?
|
|
|
|
Mwandishi anatumia swali hili kusisitiza wazo lake kuwa hakuna faida kufanya kazi kwa ajili ya upepo. "Hakuna anayepata faida yoyote kwa kufanyia kazi upepo."
|
|
|
|
# kufanya kwa ajili ya upepo
|
|
|
|
Maana zinazowezekana ni 1) "kujaribu kuushika upepo" au 2) "kufanyia kazi pumzi apumuayo"
|
|
|
|
# Wakati wa siku zake anakula gizani
|
|
|
|
Hapa neno "giza" linamaanisha hali ya huzuni. Maana zinazowezekana ni 1) "Wakati wa maisha yake anakula kwa kuomboleza" au 2) "Maisha yake anaishi kwa kuomboleza"
|
|
|
|
# na anafedheheshwa sana na magonjwa na hasira
|
|
|
|
"na kuteseka sana, kwa kuugua na hasira"
|