sw_tn/ecc/05/02.md

12 lines
212 B
Markdown

# kuongea kwa mdomo wako
Kuweka ahadi au kiapo kwa Mungu.
# Usiwe mwepesi sana ... usiufanye moyo wako uwe mwepesi sana
Misemo hii miwili inamaanisha kitu kimoja.
# maneno yako yawe machache
"usiseme sana"