# kuongea kwa mdomo wako Kuweka ahadi au kiapo kwa Mungu. # Usiwe mwepesi sana ... usiufanye moyo wako uwe mwepesi sana Misemo hii miwili inamaanisha kitu kimoja. # maneno yako yawe machache "usiseme sana"