sw_tn/ecc/04/09.md

8 lines
221 B
Markdown

# kama wawili wakilala pamoja, wanaweza kupata joto
Mwandishi anazungumzia watu wawili kupatiana joto kwenye usiku wa baridi.
# mtu mmoja anawezaje kupata joto akiwa mwenyewe?
"mtu hawezi kuwa na joto akiwa mwenyewe."