# kama wawili wakilala pamoja, wanaweza kupata joto Mwandishi anazungumzia watu wawili kupatiana joto kwenye usiku wa baridi. # mtu mmoja anawezaje kupata joto akiwa mwenyewe? "mtu hawezi kuwa na joto akiwa mwenyewe."