sw_tn/ecc/04/05.md

12 lines
341 B
Markdown

# hukunja mikono yake na hafanyi kazi
kukunja mikono ni ishara ya uvivu na ni njia nyingine ya kusema kuwa mtu amekataa kufanya kazi.
# hivyo chakula chake in mwili wake
"matokeo yake ni kusababisha uharibifu wake mwenyewe."
# kazi ambayo hujaribu kuuchunga upepo
Sio kila kiza ina faida. Kazi zingine hazina faida kama kuchunga upepo.