# hukunja mikono yake na hafanyi kazi kukunja mikono ni ishara ya uvivu na ni njia nyingine ya kusema kuwa mtu amekataa kufanya kazi. # hivyo chakula chake in mwili wake "matokeo yake ni kusababisha uharibifu wake mwenyewe." # kazi ambayo hujaribu kuuchunga upepo Sio kila kiza ina faida. Kazi zingine hazina faida kama kuchunga upepo.