sw_tn/ecc/02/26.md

8 lines
468 B
Markdown

# ili kwamba ampe mtu anayempendeza Mungu
Yule amabaye "ampaye" inaweza kumaashiria ni Mungu au mtenda dhambi. Kinachopewa ni kila ambacho mwenye dhambi amekusanya na kutunza. Tafsiri ifuatayo njia moja ya kusema hivi bila kuweka wazi ni nani anayegawa vitu vilivyotunzwa. "ili kwamba yule anayempendeza Mungu awe navyo"
# mvuke na kujaribu kuuchunga upepo
Mwalimu anasema kwamba vitu ambavyo watu hufanya ni kama kujaribu kuushika upepo au kuuzuia upepo kupuliza.