sw_tn/ecc/01/01.md

8 lines
241 B
Markdown

# Kama mvuke wa ukungu, kama upepo mwanana katika upepo
Hii ni misemo miwili inayomaanisha kitu kimoja na vimeunganishwa kwa ajili ya msisitizo.
# Ni faida gani wanadamu huipata ... chini ya jua?
"Binadamu hapati faidi ... chini ya jua."