# Kama mvuke wa ukungu, kama upepo mwanana katika upepo Hii ni misemo miwili inayomaanisha kitu kimoja na vimeunganishwa kwa ajili ya msisitizo. # Ni faida gani wanadamu huipata ... chini ya jua? "Binadamu hapati faidi ... chini ya jua."