sw_tn/deu/34/04.md

212 B

Beth-peori

Huu ulikuwa mji Moabu.

uitazame kwa macho yako

"jionee mwenyewe"

hadi leo hii

Hii ina maana ya muda ambao hii iliandikwa au kurekebishwa, sio kipindi cha sasa cha karne ya ishirini na moja.