# Beth-peori Huu ulikuwa mji Moabu. # uitazame kwa macho yako "jionee mwenyewe" # hadi leo hii Hii ina maana ya muda ambao hii iliandikwa au kurekebishwa, sio kipindi cha sasa cha karne ya ishirini na moja.