sw_tn/deu/33/23.md

827 B

Taarifa ya Jumla:

Musa anaendelea kubariki kabila za Israeli; baraka ni shairi fupi. Anazungumza na uzao wa Naftali kana kwamba wao ni mtu mmoja.

aliyeridhika na fadhila

Yahwe kufurahishwa na Naftali inazungumziwa kama "fadhila" ilikuwa chakula ambacho Naftali alikuwa hadi akawa hana njaa tena. "ambaye ana mambo yote mazuri anayotamani kwa sababu Yahwe amefurahishwa naye"

kujaa kwa baraka za Yahwe

Baraka zinazungumziwa kana kwamba zilikuwa chakula ambacho Naftali alikula mpaka hakuhitaji tena. "ambaye Yahwe alimbariki ili kwamba akawa na kila kitu anachohitaji"

miliki

Musa anazungumza kana kwamba kabila la Naftali ni mtu mmoja, kwa hiyo maneno haya ni katika umoja.

nchi iliyopo magharibi na kusini

Hii ina maana ya nchi inayozunguka ziwa la Galilaya. Maana kamili ya kauli hii inaweza kuwekwa wazi.