sw_tn/deu/33/22.md

8 lines
268 B
Markdown

# Taarifa ya Jumla:
Musa anaendelea kubariki kabila za Israeli, baraka ni shairi fupi.
# Dani ni mwana wa simba arukaye kutoka Bashani
Watu wa Dani wana nguvu kama mwana wa simba, na wanashambulia adui zao waishio Bashani. Unaweza kuweka taarifa inayoeleweka wazi.