sw_tn/deu/33/22.md

268 B

Taarifa ya Jumla:

Musa anaendelea kubariki kabila za Israeli, baraka ni shairi fupi.

Dani ni mwana wa simba arukaye kutoka Bashani

Watu wa Dani wana nguvu kama mwana wa simba, na wanashambulia adui zao waishio Bashani. Unaweza kuweka taarifa inayoeleweka wazi.