sw_tn/deu/33/17.md

808 B
Raw Permalink Blame History

Taarifa ya Jumla:

Musa anaendelea kubariki kabila za Israeli; baraka ni shairi fupi. Anaendelea kuelezea kabila la Yusufu, ambalo alianza kufanya katika 33:13.

Mzawa wa kwanza wa ngombe, katika utukufu wake

Ng'ombe ni sitiari ya kitu kikubwa chenye nguvu. Neno "mzawa wa kwanza" ni sitiari ya heshima. "Watu wataheshimu uzao wa Yusufu, ambao ni wengi na wenye nguvu"

pembe zake ni pembe za

Pembe ni sitiari kwa nguvu. "ana nguvu kama"

kwa hawa atawasukuma

Kusukuma kwa pembe zake ni sitiari ya nguvu. "Ana nguvu kiasi kwamba atawasukuma"

maelfu makumi ya Efraimu ... maelfu wa Manase

Hii ina maana ya kabila la Efraimu litakuwa lenye nguvu kuliko kabila la Manase. "watu wa Efraimu, ambao huhesabika mara nyingi kama 10,000 ... watu wa Manase, ambao huhesabika mara nyingi kuwa 1,000"