forked from WA-Catalog/sw_tn
20 lines
808 B
Markdown
20 lines
808 B
Markdown
|
# Taarifa ya Jumla:
|
|||
|
|
|||
|
Musa anaendelea kubariki kabila za Israeli; baraka ni shairi fupi. Anaendelea kuelezea kabila la Yusufu, ambalo alianza kufanya katika 33:13.
|
|||
|
|
|||
|
# Mzawa wa kwanza wa ng’ombe, katika utukufu wake
|
|||
|
|
|||
|
Ng'ombe ni sitiari ya kitu kikubwa chenye nguvu. Neno "mzawa wa kwanza" ni sitiari ya heshima. "Watu wataheshimu uzao wa Yusufu, ambao ni wengi na wenye nguvu"
|
|||
|
|
|||
|
# pembe zake ni pembe za
|
|||
|
|
|||
|
Pembe ni sitiari kwa nguvu. "ana nguvu kama"
|
|||
|
|
|||
|
# kwa hawa atawasukuma
|
|||
|
|
|||
|
Kusukuma kwa pembe zake ni sitiari ya nguvu. "Ana nguvu kiasi kwamba atawasukuma"
|
|||
|
|
|||
|
# maelfu makumi ya Efraimu ... maelfu wa Manase
|
|||
|
|
|||
|
Hii ina maana ya kabila la Efraimu litakuwa lenye nguvu kuliko kabila la Manase. "watu wa Efraimu, ambao huhesabika mara nyingi kama 10,000 ... watu wa Manase, ambao huhesabika mara nyingi kuwa 1,000"
|