sw_tn/deu/33/14.md

28 lines
721 B
Markdown

# Taarifa ya Jumla:
Musa anaendelea kubariki kabila za Israeli; baraka ni shairi fupi. Anaendelea kuelezea kabila la Yusufu, ambalo alianza kufanya katika 33:13.
# Nchi yake na ibarikiwe
Hii inaweza kuelezwa kwa hali ya kutenda. "Na Yahwe abariki nchi yake".
# na vitu vya thamani mavuno ya jua
"kwa mazao bora ambayo jua ilisababisha kuota"
# na vitu vya thamani mazao ya miezi
"kwa mazao bora kabisa ambayo huota mwezi hadi mwezi"
# vitu vizuri ... vitu vya thamani
Musa yawezekana anamaanisha mazao ya chakula. Maana kamili ya kauli hii inaweza kuwekwa wazi. "matunda bora kabisa ... matunda ya thamani"
# milima ya zamani
"milima ambayo ilikuwepo zamani"
# milima ya milele
"milima itakayokuwepo milele"