sw_tn/deu/33/14.md

721 B

Taarifa ya Jumla:

Musa anaendelea kubariki kabila za Israeli; baraka ni shairi fupi. Anaendelea kuelezea kabila la Yusufu, ambalo alianza kufanya katika 33:13.

Nchi yake na ibarikiwe

Hii inaweza kuelezwa kwa hali ya kutenda. "Na Yahwe abariki nchi yake".

na vitu vya thamani mavuno ya jua

"kwa mazao bora ambayo jua ilisababisha kuota"

na vitu vya thamani mazao ya miezi

"kwa mazao bora kabisa ambayo huota mwezi hadi mwezi"

vitu vizuri ... vitu vya thamani

Musa yawezekana anamaanisha mazao ya chakula. Maana kamili ya kauli hii inaweza kuwekwa wazi. "matunda bora kabisa ... matunda ya thamani"

milima ya zamani

"milima ambayo ilikuwepo zamani"

milima ya milele

"milima itakayokuwepo milele"