sw_tn/deu/33/09.md

546 B

Taarifa ya Jumla:

Musa anaendelea kubariki kabila za Israeli, ambapo alianza kufanya katika 33:1; baraka ni shairi fupi. Anaendelea kufafanua kabila la Lawi, ambapo alianza kufanya katika 33:8.

kwa maana alilinda neno lako

Hapa "neno" lina maana ya amri za Yahwe. "kwa maana walitii amri zako"

alilinda ... kushika

Maneno haya yote ina maana ya kuangalia na kulinda. Mara kwa mara zilikuwa sitiari kwa "kutii", lakini hapa zinaweza kutafsiriwa kwa sababu zinamaana ya muda ambapo Walawi waliwaua watu waliokuwa wakiasi dhidi ya Yahwe.