sw_tn/deu/33/07.md

342 B

Taarifa ya Jumla:

Musa anaendelea kubariki kabila za Israeli, ambapo alianza kufanya katika 33:1; baraka ni shairi fupi.

sauti ya Yuda

Hapa "sauti ya Yuda" ina maana ya vilio na maombi ya watu wa Yuda. "watu wa Yuda watakapoomba kwako"

kuwa msaada

Nomino inayojitegema "msaada" inaweza kutafsiriwa kama kitenzi. "msaidie kupigana"