# Taarifa ya Jumla: Musa anaendelea kubariki kabila za Israeli, ambapo alianza kufanya katika 33:1; baraka ni shairi fupi. # sauti ya Yuda Hapa "sauti ya Yuda" ina maana ya vilio na maombi ya watu wa Yuda. "watu wa Yuda watakapoomba kwako" # kuwa msaada Nomino inayojitegema "msaada" inaweza kutafsiriwa kama kitenzi. "msaidie kupigana"