sw_tn/deu/33/05.md

491 B

Taarifa ya Jumla:

Musa anaendelea kubariki kabila za Israeli, ambapo alianza kufanya katika 33:1; baraka ni shairi fupi.

Taarifa ya Jumla:

Mstari wa 5 ni mgumu kuelewa.

pakawa na mfalme

"Yahwe akawa mfalme"

Yeshurumu

Hili ni jina lingine la Israeli.

Ruhusu Rubeni aishi

Hii inaanza baraka za Musa kwa kabila binafsi za Israeli.

lakini wanaume wake wawe wachache

Maana zingine zaweza kuwa 1) "na wanamume wake wawe wachache" au 2) "hata kama wanamume wake ni wachache"