# Taarifa ya Jumla: Musa anaendelea kubariki kabila za Israeli, ambapo alianza kufanya katika 33:1; baraka ni shairi fupi. # Taarifa ya Jumla: Mstari wa 5 ni mgumu kuelewa. # pakawa na mfalme "Yahwe akawa mfalme" # Yeshurumu Hili ni jina lingine la Israeli. # Ruhusu Rubeni aishi Hii inaanza baraka za Musa kwa kabila binafsi za Israeli. # lakini wanaume wake wawe wachache Maana zingine zaweza kuwa 1) "na wanamume wake wawe wachache" au 2) "hata kama wanamume wake ni wachache"