sw_tn/deu/33/03.md

612 B

Taarifa ya Jumla:

Musa anaendelea kubariki kabila za Israeli, ambapo alianza kufanya katika 33:1; Musa anazungumza baraka kwa njia ya shairi fupi.

Taarifa ya Jumla:

Mistari hii ni migumu kuelewa.

watu

"watu wa Israeli"

watakatifu wake wote wapo mikononi mwako ... mguuni mwako ... maneno yako

Viwakilishi nomino "mwako" na "yako" ina maana ya Yahwe. "watakatifu wa Yahwe wote wapo mikononi mwake .. miguuni mwake ... maneno yake"

watakatifu wake wote wapo mikononi mwako

Mkononi ni lugha nyingine ya nguvu na ulinzi. "unalinda watakatifu wake wote"

urithi

"miliki" au "miliki ya thamani"