sw_tn/deu/33/03.md

24 lines
612 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Taarifa ya Jumla:
Musa anaendelea kubariki kabila za Israeli, ambapo alianza kufanya katika 33:1; Musa anazungumza baraka kwa njia ya shairi fupi.
# Taarifa ya Jumla:
Mistari hii ni migumu kuelewa.
# watu
"watu wa Israeli"
# watakatifu wake wote wapo mikononi mwako ... mguuni mwako ... maneno yako
Viwakilishi nomino "mwako" na "yako" ina maana ya Yahwe. "watakatifu wa Yahwe wote wapo mikononi mwake .. miguuni mwake ... maneno yake"
# watakatifu wake wote wapo mikononi mwako
Mkononi ni lugha nyingine ya nguvu na ulinzi. "unalinda watakatifu wake wote"
# urithi
"miliki" au "miliki ya thamani"