sw_tn/deu/32/41.md

366 B

Taarifa ya Jumla:

Musa anazungumza wimbo wa shairi kwa watu wa Israeli.

Nitakaponoa panga langu lingaaro

Hii ina maana Mungu anaandaa kuhukumu na kuadhibu adui zake. "Ninaponoa panga langu ling'aaro" au "Nitakapokuwa tayari kuhukumu adui zangu"

mkono wangu utakapoanza kuleta haki

Hapa "mkono" inawakilisha mtu mzima. "nitakapokuwa tayari kuhukumu waovu"