# Taarifa ya Jumla: Musa anazungumza wimbo wa shairi kwa watu wa Israeli. # Nitakaponoa panga langu lingaaro Hii ina maana Mungu anaandaa kuhukumu na kuadhibu adui zake. "Ninaponoa panga langu ling'aaro" au "Nitakapokuwa tayari kuhukumu adui zangu" # mkono wangu utakapoanza kuleta haki Hapa "mkono" inawakilisha mtu mzima. "nitakapokuwa tayari kuhukumu waovu"