sw_tn/deu/32/28.md

493 B

Taarifa ya Jumla:

Musa anazungumza wimbo wa shairi kwa watu wa Israeli. Anaendelea kutoa nukuu maneno ya Yahwe.

Laiti wangekuwa na hekima, wangeelewa hili, na kuzingatia ujio wa hatima yao

Musa anasema jambo ambalo anatamani lilikuwa kweli, lakini anajua ya kwamba hawana hekima na hawaelewi ya kuwa kutokutii kwao kutasababisha Yahwe kuleta maafa haya juu yao.

ujio wa hatima yao

Nomino inayojitegemea ya"hatima" inaweza kutafsiriwa kama kitenzi. "kile kinachokwenda kutokea kwao"