sw_tn/deu/32/28.md

12 lines
493 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Taarifa ya Jumla:
Musa anazungumza wimbo wa shairi kwa watu wa Israeli. Anaendelea kutoa nukuu maneno ya Yahwe.
# Laiti wangekuwa na hekima, wangeelewa hili, na kuzingatia ujio wa hatima yao
Musa anasema jambo ambalo anatamani lilikuwa kweli, lakini anajua ya kwamba hawana hekima na hawaelewi ya kuwa kutokutii kwao kutasababisha Yahwe kuleta maafa haya juu yao.
# ujio wa hatima yao
Nomino inayojitegemea ya"hatima" inaweza kutafsiriwa kama kitenzi. "kile kinachokwenda kutokea kwao"