sw_tn/deu/32/27.md

24 lines
662 B
Markdown

# Taarifa ya Jumla:
Musa anazungumza wimbo wa shairi kwa watu wa Israeli. Anaendelea kutoa nukuu maneno ya Yahwe.
# Isingekuwa kwamba naogopa uchokozi wa adui
"Niliogopa uchokozi wa adui"
# uchokozi wa adui
Nomino hii inayojitegemea inaweza kutafsiriwa kama kitenzi. "ya kwamba adui angenichokoza" au "ya kwamba adui angenifanya niwe na hasira"
# adui
Yahwe anazungumzia kuhusu maadui wake kana kwamba walikuwa mtu mmoja. "adui wangu" au "maadui wangu"
# wangehukumu kimakosa
"hawakueleweka"
# Mkono wetu umeinuliwa
Hapa "mkono" inawakilisha nguvu na uwezo wa mtu. Kuinuliwa ni lahaja ya kumshinda adui. "Tumemshinda adui kwa sababu tuna nguvu zaidi"