sw_tn/deu/32/27.md

662 B

Taarifa ya Jumla:

Musa anazungumza wimbo wa shairi kwa watu wa Israeli. Anaendelea kutoa nukuu maneno ya Yahwe.

Isingekuwa kwamba naogopa uchokozi wa adui

"Niliogopa uchokozi wa adui"

uchokozi wa adui

Nomino hii inayojitegemea inaweza kutafsiriwa kama kitenzi. "ya kwamba adui angenichokoza" au "ya kwamba adui angenifanya niwe na hasira"

adui

Yahwe anazungumzia kuhusu maadui wake kana kwamba walikuwa mtu mmoja. "adui wangu" au "maadui wangu"

wangehukumu kimakosa

"hawakueleweka"

Mkono wetu umeinuliwa

Hapa "mkono" inawakilisha nguvu na uwezo wa mtu. Kuinuliwa ni lahaja ya kumshinda adui. "Tumemshinda adui kwa sababu tuna nguvu zaidi"