sw_tn/deu/32/21.md

24 lines
586 B
Markdown

# Taarifa ya Jumla:
Musa anazungumza wimbo wa shairi kwa watu wa Israeli. Anaendelea kutoa nukuu maneno ya Yahwe.
# Wamenifanya kuwa na wivu
Hapa "wamenifanya" ina maana ya Yahwe.
# kile ambacho sio mungu
"ambayo ni miungu ya uongo"
# mambo yao yasiyo na maana
Unaweza kuweka wazi ambayo "vitu" ni nini. "sanamu zisizo na maana"
# wale ambao sio taifa
"watu ambao hawapo miongoni mwa kundi moja la watu"
# taifa pumbavu
Maneno "wapumbavu" na "msiojitambua" ina maana ya kitu kimoja na inasisitiza jinsi watu walivyo wapumbavu kwa kutomtii Yahwe. "nyie watu wapumbavu kabisa"