forked from WA-Catalog/sw_tn
16 lines
577 B
Markdown
16 lines
577 B
Markdown
# Taarifa ya Jumla:
|
|
|
|
Musa anazungumza wimbo wa shairi kwa watu wa Israeli.
|
|
|
|
# Kama tai akichungaye kiota chake na kupiga piga mabawa juu ya makinda yake, Yahwe alitandaza mabawa yake na kuwachukua, na kuwabeba kwenye mapapatio yake
|
|
|
|
Hii ina maana Yahwe aliwachunga na kuwalinda Waisraeli walipokuwa jangwani.
|
|
|
|
# mapapatio
|
|
|
|
sehemu ya nje ya ukingo wa mabawa ya ndege
|
|
|
|
# alimuongoza ... pamoja naye
|
|
|
|
Musa anazungumza na Waisraeli tena kama "Yakobo" (32:9). Unaweza kuhitaji kutafsiri kana kwamba Musa alikuwa akizungumza na Waisraeli kama watu wengi. "aliwaongoza .. pamoja nao"
|