# Taarifa ya Jumla: Musa anazungumza wimbo wa shairi kwa watu wa Israeli. # Kama tai akichungaye kiota chake na kupiga piga mabawa juu ya makinda yake, Yahwe alitandaza mabawa yake na kuwachukua, na kuwabeba kwenye mapapatio yake Hii ina maana Yahwe aliwachunga na kuwalinda Waisraeli walipokuwa jangwani. # mapapatio sehemu ya nje ya ukingo wa mabawa ya ndege # alimuongoza ... pamoja naye Musa anazungumza na Waisraeli tena kama "Yakobo" (32:9). Unaweza kuhitaji kutafsiri kana kwamba Musa alikuwa akizungumza na Waisraeli kama watu wengi. "aliwaongoza .. pamoja nao"