sw_tn/deu/30/19.md

32 lines
1.0 KiB
Markdown
Raw Permalink Blame History

This file contains ambiguous Unicode characters

This file contains Unicode characters that might be confused with other characters. If you think that this is intentional, you can safely ignore this warning. Use the Escape button to reveal them.

# Taarifa ya Jumla:
Musa anaongea na Waisraeli kana kwamba walikuwa mtu mmoja, isipokuwa pale inapoandikwa neno "yako" ni katika umoja.
# Naziita mbingu na nchi kushuhudia
Maana zaweza kuwa 1) Musa anawaita wale wanaoishi mbinguni na duniani kwa mashahidi kwa kile anachosema, au 2) Musa anazungumza kwa mbingu na dunia kana kwamba ni watu, na kuziita kama mahsahidi kwa kile anachosema.
# kushuhudia dhidi yako
"kuwa tayari kusema ya kwamba umefanya mambo maovu"
# dhidi yako leo
Musa anazungumza na Waisraeli kama kundi.
# kutii sauti yake
Hapa "sauti" ina maana ya kile Yahwe alischosema. "tii kile anachosema"
# na kungangania kwake
"na kumtegemea yey"
# Kwa maana yeye ni uzima wako na urefu wa siku zako
"Uzima wako" na "urefu wa siku zako" ni lugha nyingine kwa yule ambaye hutoa uhai na urefu wa siku. Unaweza kuunganisha misemo hii miwili ukihitaji. "Yahwe ni yeye pekee anayeweza kukuwezesha kuishi maisha marefu"
# aliapa kwa mababu zako
udondoshaji wa maneno unaweza kujazwa. "aliapa ya kwamba angewapa mababu zako"