forked from WA-Catalog/sw_tn
12 lines
407 B
Markdown
12 lines
407 B
Markdown
# Taarifa ya Jumla:
|
|
|
|
Musa anaendelea kuzungumza na watu wa Israeli kana kwamba walikuwa mtu mmoja, kwa hiyo neno "wako" hapa ni katika umoja.
|
|
|
|
# muingie katika agano la Yahwe Mungu wenu na katika kiapo ambacho Yahwe Mungu wako anafanya na wewe leo
|
|
|
|
"kukubaliana na agano na kuapa ya kwamba utatii yote ambayo Yahwe Mungu wako anaamuru"
|
|
|
|
# watu kwa ajili yake
|
|
|
|
"kikundi cha watu kinachokuwa cha kwake pekee"
|