sw_tn/deu/29/12.md

407 B

Taarifa ya Jumla:

Musa anaendelea kuzungumza na watu wa Israeli kana kwamba walikuwa mtu mmoja, kwa hiyo neno "wako" hapa ni katika umoja.

muingie katika agano la Yahwe Mungu wenu na katika kiapo ambacho Yahwe Mungu wako anafanya na wewe leo

"kukubaliana na agano na kuapa ya kwamba utatii yote ambayo Yahwe Mungu wako anaamuru"

watu kwa ajili yake

"kikundi cha watu kinachokuwa cha kwake pekee"