sw_tn/deu/29/02.md

24 lines
1.0 KiB
Markdown

# Mmeona kila kitu ambacho Yahwe alifanya mbele ya macho yenu
Hapa "macho" yanasisitiza ya kwamba Yahwe alitarajia wao kukumbuka ya kwamba walikiona. "Mmeona yote ambayo Yahwe alifanya ili kwamba muone na kukumbuka alichofanya"
# mateso makubwa ambayo macho yenu yaliona
Hapa "macho" yanasisitiza ya kwamba Yahwe alitarajia wao kukumbuka ya kwamba walikiona. "mmeona wenyewe ya kwamba watu waliteseka vibaya"
# macho yako
Musa anazungumza na Waisraeli kana kwamba walikuwa mtu mmoja, kwa hiyo neno "yako" hapa ni katika umoja.
# ishara, pamoja na ile miujiza mikubwa
Maneno "ishara" na "miujiza" yote ina maana ya mapigo ambayo Yahwe alituma juu ya Misri. "na vitu vyote vyenye uwezo ambavyo Yahwe alifanya"
# Yahwe hajawapatia moyo wa kufahamu, macho ya kuona, au masikio ya kusikia
Watu wana mioyo, macho, na masikio. Lugha hii inasema ya kwamba Yahwe hajawawezesha kuelewa kile walichokiona na kusikia kutoka kwa Yahwe, na kwa nini na namna gani wanapaswa kumtii"
# hajawapatia moyo wa kufahamu
Hii ni lahaja. "kuwawezesha kuelewa"