sw_tn/deu/29/01.md

547 B

Haya ni maneno ambayo Yahwe alimuamuru Musa kuwaambia

Hii ina maana ya maneno ambayo Musa anataka kuzungumza.

katika nchi ya Moabu

Hii ipo mashariki mwa upande wa Yordani ambapo Waisraeli walikuwa wakikaa kabla hawajaingia katika nchi ya Kaanani. "walipokuwa katika nchi ya Moabu"

maneno ambayo yaliongezwa katika agano ... kule Horebu

Hizi amri za ziada zilitolewa kufanya agano la Yahwe kueleweka vizuri zaidi kwa watu pale watakapokaa katika nchi yao mpya. Amri hizi mpya hazikuwa za agano jipya, lakini ongezeko kwa agano la awali.