sw_tn/deu/29/01.md

12 lines
547 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Haya ni maneno ambayo Yahwe alimuamuru Musa kuwaambia
Hii ina maana ya maneno ambayo Musa anataka kuzungumza.
# katika nchi ya Moabu
Hii ipo mashariki mwa upande wa Yordani ambapo Waisraeli walikuwa wakikaa kabla hawajaingia katika nchi ya Kaanani. "walipokuwa katika nchi ya Moabu"
# maneno ambayo yaliongezwa katika agano ... kule Horebu
Hizi amri za ziada zilitolewa kufanya agano la Yahwe kueleweka vizuri zaidi kwa watu pale watakapokaa katika nchi yao mpya. Amri hizi mpya hazikuwa za agano jipya, lakini ongezeko kwa agano la awali.